\v=28 \v~=Kisha Mose akamwambia Aroni kila kitu \nd Bwana\nd* alichomtuma kusema, vilevile habari za ishara na maajabu alizokuwa amemwamuru kufanya. \¬v \¬p