\v=21 \v~=wakawaambia Mose na Aroni, “\nd Bwana\nd* na awaangalie awahukumu ninyi! Mmetufanya tunuke kwa Farao na maafisa wake, nanyi mmeweka upanga mikononi mwao ili kutuua sisi.” \¬v \¬p