\p \v=3 \v~=Ndipo Mose na Aroni wakasema, “Mungu wa Waebrania amekutana nasi. Sasa turuhusu tuwe na safari ya siku tatu ya jangwani ili tukamtolee \nd Bwana\nd* Mungu wetu dhabihu, la sivyo aweza kutupiga sisi kwa tauni au kwa upanga.” \¬v \¬p