\b \p \v=26 \v~=Hawa walikuwa Aroni na Mose wale wale ambao \nd Bwana\nd* aliwaambia, “Watoeni Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.” \¬v