\v=3 \v~=Nilimtokea Abrahamu, Isaki na Yakobo kama Mungu Mwenyezi,\f + \fr 6:3 \ft Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote).\f* ingawa sikuwajulisha Jina langu, Yehova, Mimi mwenyewe sikujitambulisha kwao. \¬v