\p \v=6 \v~=“Kwa hiyo, waambie Waisraeli: ‘Mimi ndimi \nd Bwana\nd*, nami nitawatoa mtoke katika kongwa la Wamisri. Nitawaweka huru mtoke kuwa watumwa wao, nami nitawakomboa kwa mkono ulionyooshwa pamoja na matendo makuu ya hukumu. \¬v