\v=7 \v~=Nitawatwaa mwe watu wangu mwenyewe, nami nitakuwa Mungu wenu. Ndipo mtajua kuwa mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wenu, niliyewatoa chini ya kongwa la Wamisri. \¬v