\p \v=10 \v~=Ndipo Mose na Aroni wakaenda kwa Farao wakafanya sawasawa kama vile \nd Bwana\nd* alivyoagiza. Aroni akaitupa ile fimbo yake chini mbele ya Farao na maafisa wake, nayo ikawa nyoka. \¬v