\v=16 \v~=Kisha umwambie, ‘\nd Bwana\nd*, Mungu wa Waebrania, amenituma nikuambie: Waachie watu wangu waende, ili wapate kuniabudu jangwani. Lakini hadi sasa hujasikiliza. \¬v