\v=17 \v~=Hili ndilo \nd Bwana\nd* asemalo: Kwa hili utajua kuwa Mimi ndimi \nd Bwana\nd*: Fimbo iliyo mkononi mwangu nitapiga nayo maji ya Naili nayo yatabadilika kuwa damu. \¬v