\p \v=20 \v~=Mose na Aroni wakafanya kama vile \nd Bwana\nd* alivyokuwa amewaagiza. Akainua fimbo yake machoni pa Farao na maafisa wake na kuyapiga maji ya Mto Naili, na maji yote yakabadilika kuwa damu. \¬v