\p \v=22 \v~=Lakini waganga wa Misri kwa kutumia siri ya uganga wao wakafanya vivyo hivyo, nao moyo wa Farao ukawa mgumu, hakuwasikiliza Mose na Aroni, kama vile \nd Bwana\nd* alivyokuwa amesema. \¬v