\v=5 \v~=Nao Wamisri watajua kuwa Mimi ndimi \nd Bwana\nd* nitakapounyoosha mkono wangu dhidi ya Misri na kuwatoa Waisraeli watoke humo.” \¬v \¬p