\p \v=12 \v~=Baada ya Mose na Aroni kuondoka kwa Farao, Mose akamlilia \nd Bwana\nd* kuhusu vyura aliokuwa amewaleta kwa Farao. \¬v