\v=13 \v~=Naye \nd Bwana\nd* akafanya lile Mose alilomwomba. Vyura wakafia ndani ya nyumba, viwanjani na mashambani. \¬v