\v=15 \v~=Lakini Farao alipoona pametokea nafuu, akaushupaza moyo wake na hakuwasikiliza Mose na Aroni, kama vile \nd Bwana\nd* alivyokuwa amesema. \¬v \¬p