\p \v=19 \v~=Waganga wale wakamwambia Farao, “Hiki ni kidole cha Mungu.” Lakini moyo wa Farao ukawa mgumu naye hakuwasikiliza, kama vile \nd Bwana\nd* alivyosema. \¬v \¬p