\p \v=26 \v~=Lakini Mose akamwambia, “Hilo halitakuwa sawa. Dhabihu tutakazomtolea \nd Bwana\nd* Mungu wetu zitakuwa chukizo kwa Wamisri. Kama tukitoa dhabihu ambazo ni chukizo mbele yao, je, hawatatupiga mawe? \¬v