\p \v=28 \v~=Farao akamwambia, “Nitawaruhusu mwende kumtolea \nd Bwana\nd* Mungu wenu dhabihu huko jangwani, lakini hamna ruhusa kwenda mbali sana. Sasa mniombee.” \¬v \¬p