\p \v=8 \v~=Ndipo Farao akamwita Mose na Aroni na kusema, “Mwombeni \nd Bwana\nd* awaondoe vyura kutoka kwangu na kwa watu wangu, nami nitawaachia watu wenu waende kumtolea \nd Bwana\nd* dhabihu.” \¬v \¬p