\p \v=20 \v~=Wale maafisa wa Farao ambao waliliogopa neno la \nd Bwana\nd* wakafanya haraka kuwaleta watumwa wao na mifugo yao ndani. \¬v