\v=23 \v~=Mose alipoinyoosha fimbo yake kuelekea angani, \nd Bwana\nd* akatuma ngurumo na mvua ya mawe, umeme wa radi ulimulika hadi nchi. Kwa hiyo \nd Bwana\nd* akaifanya mvua ya mawe kunyesha juu ya nchi ya Misri, \¬v