\p \v=27 \v~=Ndipo Farao akawaita Mose na Aroni akawaambia, “Wakati huu nimetenda dhambi. \nd Bwana\nd* ni mwenye haki, mimi na watu wangu ni wakosaji. \¬v