\p \v=33 \v~=Kisha Mose akaondoka kwa Farao akaenda nje ya mji. Mose akanyoosha mikono yake kuelekea kwa \nd Bwana\nd*, ngurumo na mvua ya mawe vikakoma, mvua haikuendelea tena kunyesha nchini. \¬v