\v=19 \v~=Nilipokuwa nikitazama, makerubi yakatanda mabawa yao na kuinuka kutoka ardhini, nao walipokuwa wakienda, yale magurudumu yakaenda pamoja nao. Wakasimama kwenye ingilio la lango la mashariki la nyumba ya \nd Bwana\nd*, nao utukufu wa Mungu wa Israeli ukawa juu yao. \¬v \¬p