\v=4 \v~=Kisha utukufu wa \nd Bwana\nd* ukainuka kutoka juu ya wale makerubi ukaenda kwenye kizingiti cha Hekalu. Wingu likajaza Hekalu, nao ukumbi ukajawa na mngʼao wa utukufu wa \nd Bwana\nd*. \¬v