\p \v=13 \v~=Basi nilipokuwa ninatoa unabii, Pelatia mwana wa Benaya akafa. Ndipo nikaanguka kifudifudi, nikalia kwa sauti kuu nikasema, “Ee \nd Bwana\nd* Mwenyezi! Je utaangamiza kabisa mabaki ya Israeli?” \¬v \¬p