\p \v=17 \v~=“Kwa hiyo sema: ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Nitawakusanyeni kutoka mataifa na kuwarudisha kutoka nchi ambazo mmetawanywa, nami nitawarudishia nchi ya Israeli.’ \¬v \¬p