\v=21 \v~=Lakini kwa wale ambao mioyo yao imeambatana na vinyago vyao vya upotovu na sanamu zao za machukizo, nitaleta juu ya vichwa vyao yale waliyotenda asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.” \¬v \¬p