\p \v=5 \v~=Kisha Roho wa \nd Bwana\nd* akaja juu yangu, naye akaniambia niseme: “Hili ndilo \nd Bwana\nd* asemalo: Hili ndilo ninyi mnalosema, ee nyumba ya Israeli, lakini ninajua mnalowaza mioyoni mwenu. \¬v