\p \v=7 \v~=“Kwa hiyo hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd* Mwenyezi: maiti ulizozitupa huko ni nyama na mji huu ni chungu, lakini nitawaondoa mtoke huko. \¬v