\p \v=15 \v~=“Wao watajua kwamba Mimi ndimi \nd Bwana\nd*, nitakapowatawanya miongoni mwa mataifa na kuwafukuza huku na huko katika nchi zote. \¬v