\v=25 \v~=Lakini Mimi \nd Bwana\nd* nitasema neno nitakalo, nalo litatimizwa bila kuchelewa. Kwa maana katika siku zako, wewe nyumba ya kuasi, nitatimiza kila nisemalo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.’ ” \¬v \¬p