\p \v=13 \v~=“ ‘Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Katika ghadhabu yangu nitauachia upepo wa dhoruba, pia katika hasira yangu mvua ya mawe na mvua ya mafuriko itanyesha ikiwa na ghadhabu ya kuangamiza. \¬v