\p \v=20 \v~=“ ‘Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Mimi niko kinyume na hizo hirizi zenu za uchawi ambazo kwa hizo mnawatega watu kama ndege, nami nitazirarua kutoka mikononi mwenu, nitawaweka huru watu wale mliowatega kama ndege. \¬v