\v=6 \v~=Maono yao ni ya uongo na ubashiri wao ni wa udanganyifu. Wao husema, “\nd Bwana\nd* amesema,” wakati \nd Bwana\nd* hakuwatuma, bado wakitarajia maneno yao kutimizwa. \¬v