\v=7 \v~=Je, hamjaona maono ya uongo na kusema ubashiri wa udanganyifu hapo msemapo, “\nd Bwana\nd* asema,” lakini Mimi sijasema? \¬v \¬p