\p \v=8 \v~=“ ‘Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Kwa sababu ya uongo wa maneno yenu na kwa madanganyo ya maono yenu, Mimi ni kinyume na ninyi, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. \¬v