\p \v=11 \v~=“ ‘Ndipo watu wa Israeli hawataniacha tena, wala kujitia unajisi tena kwa dhambi zao zote. Ndipo watakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wao, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi.’ ” \¬v \¬p