\v=16 \v~=hakika kama niishivyo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, hata kama watu hawa watatu wangekuwa humo ndani yake, wasingeweza kuokoa wana wao wala binti zao. Wao peke yao wangeokolewa, lakini nchi ingekuwa ukiwa. \¬v \¬p