\v=18 \v~=hakika kama niishivyo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, hata kama watu hawa watatu wangekuwa humo ndani yake, wasingeweza kuokoa wana wao wala binti zao. Wao wenyewe tu wangeokolewa. \¬v \¬p