\v=20 \v~=hakika kama niishivyo, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, hata kama Noa, Danieli na Ayubu wangekuwa humo ndani yake, wasingeweza kumwokoa mwana wala binti. Wao wangeweza kujiokoa wenyewe tu kwa uadilifu wao. \¬v \¬p