\v=4 \v~=Kwa hiyo sema nao uwaambie, ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Wakati Mwisraeli yeyote anapoweka sanamu moyoni mwake na kuweka kitu kiovu cha kukwaza mbele ya macho yake na kisha akaenda kwa nabii, Mimi \nd Bwana\nd* nitamjibu peke yangu sawasawa na ukubwa wa ibada yake ya sanamu. \¬v