\p \v=6 \v~=“Kwa hiyo iambie nyumba ya Israeli, ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Tubuni! Geukeni kutoka kwenye sanamu zenu na mkatae matendo yenu yote ya machukizo! \¬v \¬p