\p \v=9 \v~=“ ‘Naye nabii kama atakuwa ameshawishika kutoa unabii, Mimi \nd Bwana\nd* nitakuwa nimemshawishi nabii huyo, nami nitaunyoosha mkono wangu dhidi yake na kumwangamiza kutoka miongoni mwa watu wangu Israeli. \¬v