\p \v=6 \v~=“Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi asemalo: Kama nilivyoutoa mti wa mzabibu miongoni mwa miti ya msituni kuwa nishati kwa ajili ya moto, hivyo ndivyo nitakavyowatendea watu waishio Yerusalemu. \¬v