\v=19 \v~=Pia chakula changu nilichokupa ili ule: unga laini, mafuta ya zeituni na asali, ulivitoa mbele yao kuwa uvumba wa harufu nzuri. Hayo ndiyo yaliyotokea, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. \¬v \¬p