\v=3 \v~=na useme, ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenyezi, analomwambia Yerusalemu: Wewe asili yako na kuzaliwa kwako ni katika nchi ya Kanaani, baba yako alikuwa Mwamori, naye mama yako alikuwa Mhiti. \¬v