\p \v=30 \v~=“ ‘Tazama jinsi ulivyo na dhamiri dhaifu, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi, unapofanya mambo haya yote, ukifanya kama kahaba asiyekuwa na aibu! \¬v