\p \v=43 \v~=“ ‘Kwa sababu hukuzikumbuka siku za ujana wako, lakini ulinikasirisha kwa mambo haya yote, hakika nitaleta juu ya kichwa chako yale uliyotenda, asema \nd Bwana\nd* Mwenyezi. Je hukuongeza uasherati juu ya matendo yako yote ya kuchukiza? \¬v \¬p